REVIEWS

Verses that crown Octopizzo as the best Rapper in Kenya

today07/07/2021 2

Background
share close

Octopizzo has come from far, he has an interesting story that can make an interesting biopic or even a great movie.

Octopizzo has come from far, he has an interesting story that can make an interesting biopic or even a great movie.

The gifted rapper has seen it all.

To make it where he is today in the music industry and in life isn’t something to take lightly.

Not so many people who come from almost the same background or the same neighborhood as Octopizzo’s have managed to get out of the neighborhood.

Octopizzo knowing that, decided to help where he can through his foundation: Octopizzo Foundation, he didn’t start a foundation for some clout or to look cool, he started one from the ground up to help the people he left in Kibera, which is the largest slums in Africa.

If it were not for Octopizzo putting his neighborhood, Kibera in records, there’s a 98% chance that all mainstream, underground and upcoming artistes wouldn’t be representing their neighborhoods. Clearly, Octopizzo is a man of many firsts, he’s also the one who took hip hop mainstream.

That being said, the ‘Kanye’ hitmaker who has since changed his style to sound after growth in the music industry has always kept it real, honest, and authentic in his lyrics using metaphors, rhymes, and witty catchy remarks to make sure his message is well received.

Being among the top three mainstream celebrated music acts in Kenya who has five studio albums, others being King Kaka, and Sauti Sol who has held down the music industry over the years as we know it, Octopizzo has released a lot of records that resonate well with a lot of people thanks to the verses.

Right here, we are going to go through 10 of the best verses ever written by Octopizzo in no particular order.

Because he has a lot of well-written verses that are in the tunes of hundreds, we will be forced to have some rejoinders on the same after we’re done with the first ten.

 

On Top

[Verse 1]

Walidhani wakibuy subaru watakuwa wameacha legacy

Octo niko juu ya madawa ni kaa nimekalia pharmacy

Brain iko full ata ujinga hiwezi ulizia vacancy

Unataka kuwa ka mi come YGB then hang na si

Bado unakunywa Cham eh, zangu ni ma Hennessy

Kuja na attitude tukuingize maira, kamasi

Tunawahemesha tunawachochoa wakitokwa na makamasi

Mafuta ikiisha tutapita na makaa basi

Ukikula chungwa na ndizi mi nitakula nanasi

Niko mbele, wako nyuma ka wafuasi

Reason ni daily maze, me huwachoma ka pasi

Wanakam so slow, ju track iko kasi

Sahi namek doh, jo mtu wangu niko kazi

Mtaa naenda na maziwa ju corrupt game mi ni mzazi

Cost ya kila kitu imepanda,

Ebu enda Mombasa mtu wangu uulize bei ya mnazi

 

[Verse 2]

I spit fire then I let it burn like Usher

Corrupt game nadai cash ka Akasha

First class picnics nipate Naivasha

Kuroll na mamodel wasupa ka kina Natasha

Sitembei na wallet, doh kwa bahasha

Walijiona the storm sai nawamek rasharasha

Who’s smarter now? Si wewe

Niko juu yao nawachungulia ka mwewe

Octo AKA itisha upewe

YGB AKA itisha ulewe

Just a minute wacha nimalize kuchana

Na si nywele, ni vijiti

Ka plantation za Kericho, washatii

Na ka bado itabidi nimewashika mashati

Niwagote ata kuliko wanati

Ju ukikuja na rap game my I own Shit ka mabati

Number nane wapi? Number nane on top

Octopizzo wapi? Octopizzo on top

So get that mulla, buy that ndula, say

Get that mulla, buy that ndula

YGB wapi? YGB on top

Octopizzo wapi? Octopizzo on top

So get that mulla, buy that ndula, say

Get that mulla, buy that ndula

Natoka Kibera lakini ata nikisota sicopy

Hawana style skuizi yangu ndio wanajaribu kucopy coz

Wanaluck originality ka photocopy,

Si sikizani na paparrazi ju mi ni photophobic

Lakini kwa battle nazidi kuwamada na

Logic, am so straight Octo mi ni omophobic

Boy yuko na flow moja kali ka elnino,

Bongo mi ni most wanted jo ka albino

Akili ni nywele,

Linda zako jo ka mokorino, hiphop kwa damu natumia blood ka wino

Daily huaga nazidi kuexcel ka chino,

Daily nawachenga zile za ki Ronaldinho

Ka unaumwa sana mtu wangu pia unaeza kunywa ino

Ukinibo sana mtu wangu pia naweza kutukana *##*

Ni I double, P-I mambo, sahii niko on the spot ka Radio Jambo

Nakunyanyasa ata kuliko madha wako wa kambo

Na ka hujawai jua mtu wangu rap sijaanza kitambo

Nimeanza juzi na tayari niko kwa mitambo,

Niko used to the machines maze ka Rambo

Wananiogopa, siku hizi wakiniona wanaanza kusitasita ka list ya Ocampo

 

Ivo ivo ivo

Evil ndio mi huspit ka Lucifer na ka unadai we ndio shit

Inafaa ujue loo-si-far

Nitakupeleka nikutupe, nikuwache ukitupa

Kenye mnadaigi daily kwa hii industry ndio mi huwapa

Career zao fupi kuliko Benjamin Mukapa

Nilisha apa, tangu enzi za BC kua nitazidi kua upper

Wamesota hawawezi afford cost ya anything maze kutoka Mtwapa

So back to back, ka wafungwa na ma-chain na

Head to head ka Obama na Mcain

Face to face kama Abel na Cain

Ama one on one kama undertaker na Cain

Yani back to back mtu wangu kama ping pong

Hii ni short sana mtu wangu huwezi sing along

Namba nane baby, leta ujinga tukufanye maiti kama kingkonger

 

[Verse 2]

Ma-rapper wanajidai ka jeans zime-fade

Wana-hate ju sikuizi Octo ana-get paid

Wana-hate ju siku hizi waresh wao wana-get laid

Kila mresh anataka kua na mi kwenye bed like (aaaah)

Take over men, cross over men

Mresh wako akiniona anadai kunifanya ma bend over men

Niko all over men ni P.I double Z.O O O ati yo yo

Wajinga wako in full swing (fool swing)

Wanadhani swag ni kudunga bling blinger

Uliza mresh wako nigga! Nani hupush it in

Design ya doctor ringding

Ni P.I double Z aka the next big thing

So daily kwa rap game maze na-get bigger

Nikishika mic na-rock mafella kama jigga

No smoking but mtaani nime-chill na ki-cigar

 

[Verse 3]

Ati tangu nitoke Berlin

Siku hizi mifuko zimejaa money (Germany)

Ka player wa Bundesliga

Nawaacha na ma S-Pain maze ka La Liga

Niki-grab the mic mi hu-flipmode ka Rahdigga

A true player aka lyrical Mariga

Jay Z akikuja Kibera ni obvious atashikwa na jiggers

Kila msee ananiambia ni-buy ndai

Siezi buy gari na mtaani bado Raila anani-owe dinga

Kila wikendi utapata nikispendi

Mi na baby kendi, ku-hang na mafala maze mi sipendi

Ka nikarata mi hucheza spedi

Ka wee ni headboy nakupiga hedi

Uniripoti kwa heady

Na-regret later ka mse anadedi ukedi

Ju ya kupenda ma lady

But sinaga time ya kubeba gym

Ju sihitaji 6 packs, mtaani tayari niko na 2 pacs mtu wangu ka Makaveli

Keavy weight nina nguvu za kung’oa reli

Na ka si hip hop utanipata inda niki-hustle daily

Young gifted and black zangu ni blackmailing

But you can’t blackmail me coz I’m the Big G

Hao wengine ni wa Mr. Berry

Na hio ndio reason nikienda church siku hizi mi huenda hapo kwa pulpit

Then mi whu mag da line ka Mary

P.I double Z baiby

 

Noma Ni

Pizzo the king and you know it (you know it)

Pizzo the king and you know it (you know it)

Everything I rap about better believe I own it (own it)

Kila nguo mi’ hudunga bana better believe I bought it (bought it)

Muziki ni ndondi boxing

After chrisi ni boxing

Mayweather nikiingia kwa ring ma-punch line hazikosi

Walianza mwaka na pupa

Mi’ kwa hosi nime-chill tu ’cause

I’m sick and you know it (you know it)

I’m a dick come blow it (blow it)

Superstar I’m blowing (get it get it get it)

Neck freeze I’m snowing

Hizo chocha za ku-rap faster buda joh come slowly (slowly)

Niki-spit ebola (ebola)

Kwenye street mi’ baller (baller)

Nawaacha na mixed feelings bana wamekuwa bipolar (polar)

We shillingi mi’ dollars (dollars)

We shati mi’ collars

Wali-try kuni-call lakini sipatikani truecaller

A A A A A A kila subject ni A

E E E E E E kila ndai ni E-class

Mwaga tei kwa hii glass

Funga bao na hii pass

 

Something For You

[Verse 2]

We Ni Radius, Mi Ndio Diameter,

Unataka Kujua Nani Ndio MmHot, Check Your Thermometer,

Octo Niko On Top Kaa Numerator,

Ma Rapper Wako Chini Yangu Kaa Denominator,

Niliacha Ku Gota Man,

Kaa Hujai Jua Siku Hizi Zangu Ni Zile Za Ma Hi-Five Kaa Pentagon,

Ma Rapper Wana Sita Sita Kaa Hexagon,

Madem Wana Chora Basa, Kaa Heptagon,

Na Represent Number Nane Kaa Octagon,

Kwa mfuko Kitita, Banki Iko Ma Meter,

Zima Kuni Madam, pika Githeri Na Heater,

Usijali Juu Ya Bills Juu Stima Mi Ntalipa,

So, Nasaka Paper, Gokish tepar,

Acha Kuteta, Waka Pepeta,

Mi Ni Oscar, Na We Ni Lupita,

So Ni Obvious Utanifuata, Nikipita,

[Verse 3]

Big Fish Unasahau, Mi Ni pirana,

Na Katikati Ya Miguu Nimekubebea Box ya Pikana,

Bed Yangu Hua Ndogo, No Wonder kila usiku si ufinyana,

Na Hiyo Skirt We Huvaa Daily Siuwaga Ni Fupi Sana,

Unanigeuza Pudding, Kila Day Unanichanganya,

Nanina Doe oooo,

Si Sura, Si Nywele, Si Figure,

Si Legs, Si Toes, Sii Fingers,

Umeiva Madam Na Si Sifa,

Uko Na Bragging Rights, Unaeza Ringa,

Niko Na Banking Rights, Mi Humake Six Figures,

Coz Time Ya Roughtonne Ilikuwa Iggy Iggy,

Time Ya Octo Ni, I.G.G.Y,

Coz I’m Fancy And Stop Asking Me Why,

Coz I’m Thirsty, Every-time I Look In Your Eyes,

Your Thighs, Sijui Kaa This Time Nta Survive,

I’m Feeling Something,

 

Oliel

[Verse 1]

Mi ndo uanzisha na bado mi ndo umaliza,

Mi ndo uwakisha na bado mi uwazima,

Ambia kenyapower sitaki stima,

Zangu geothermal uwezi zima,

Flow ndani ya thermos iwezi poa,

Hizi roots deep sana bana ata wale

Washamba wa kushrub kuna venye awaezi ng’oa,

Najipenda sana siezi oa,

Kimfanyikazi kamewaka,

Ni kufanyie kazi kazi mi si worker,

Si trash lakini bado wanaitaka,

Nikipanda stage wanaitaana,

Nikishuka wanajua nmeimurder, (murder)

Bila suti niko official,

Mabao nyingi cheki scoreboard,

Ubao kibao no wonder wana Chalk jo,

[Verse 2]

Ulalala,

Hii raia bado naskia imedoz bana,

Kurarara,

Naskia nyi ni under-age ata hamjatoboa kuvote bana,

Ma politician wametugeuza machete

Venye huku kwa street daily wanatupanga,

Manguruwe sana wanajikaanga,

Big brother tangu nikue mchanga,

So, mi ni E-sir we ni habib namanga,

Chuor Nyaloka, Villa rosa, kempinski na sijiskii

God MC uliza shinski, (hee)

Ni mimi pekee,

Victoria boy design me uuza hizi samaki wanadai siku izi

Mi ni mselfish,

Wamesahau nikiwa stage late night nikipiga

Show hao walikua pale chini wakipiga maselfie,

Hauko sure shika njefi,

Fifty-fifty hadi wableki,

Nabring back Zi namove forward, Ambia promoter alete show man,

Neckfreeze, winter mi ndo snowman

Unataka tkuingia mi ndo door man,

Ambia mabouncer wazidi ju mi ndo nkona door man,

 

TBT

[Verse 1]

Wanyabora bring it back like a TBT

Mi si poppa naroam kaa DVD

Watch ikigo viral VCT

Mastude wanabambika wanadhani nimetokea visiting

Hii hata watu wa kahawa watatii

Na wale wa kupenda chai washa Tea

Wangapi washa-eat

Juu kuna vee naskia sautisol wanadai wamekaliwa chapatii

Dondo plus bomboclat

Kuna venye hizo vitu mbili buda hazijaimix

Pointing point is

Saa hii kuna venye niko na mapanda feelings

Pes otas nigga

Nachanga shillings

Keja convertible nilibomoa celing

PI unadai nikujenge

Nitakujengaje mtu wangu na buda we si building

[Verse 2]

Tunashuffle arsenal hii ni riffle

Chelsea Man U nyi ni rival

Enda uambie Mariga nilibuy ball

Kuna dem naskia anadai ball

Jigga-ish, wavy, hii ni title

Mr Ohanga hii ndo title

Na kwa church nikiingia pastor huwikwa zile za “holy shit!”

Mi ni Bible

Hii si local nani ndo logo

Wa-TZ wanawika Dar na si bongo

Si tunawika raa na si coasto

Nilikafunga na si leso

Slumboy Kibera mi ni ghetto

Lorenzo E-class mi ni benzo

Wananiogopa, hold up

Madeejay wananiogopa buda na mi si Kenzo

[Verse 3]

Ooh bwoy, nimekuwa ambassador bila kupitia CBD

Ooh bwoy, wanadai nilifika hapa juu ya illuminati ati si bidii

Ooh bwoy, mi ndo boy hukuwa na lines mob kwa kichwa ni kaa nimevaa kofia ya corduroy

Ooh bwoy, nikipita kwa mtaa yako nafuatwa na convoy

Heey I bring it back like a chorus

Mwanaume ni akili punguza thorax

Hii ni noma hii si choma hii ni before full stop hii ni comma

Hii ni kaa kwa kitanda eight years bila kupona

Hii ni comma PI ZZ

Mpaka kwa shule round hii si itabidi mmenisoma

 

Kanye

[Verse 1]

Enda umwambie, ongeza sauti asikie

Mrembo asilie kwa benzo we nikalie

Pandisha mzuka baibe nizungushie

Akisha cooker daile nichachishie

Pizzo de, reloaded, Its another one, ni ngori de!

Kila siku kwetu holiday, Msupa de! punguza chocha de!

Rada safi, IG yenye hygene

Mwaga maji, dripping huwezi mop

Hii nilikafunga, nikatupa keys

Swizzbeat aliishia akanipa keys

Black and white daily, zangu lowkey

Lyrically sick, kuja na doki

[Verser 2]

Niite plumber, venye nabonga choo

Kwenye boxer, the only place nakuwanga ligi soo

Ligi libido, niko ma ngiri though

NFL, NBA hizo mbili bruh

Sipigi show bila gwala

Babylon nigga nigga wapi doh?, wapi doh?

Karma is a bitch na we ni wagido, Mary Jane wapi ndom

Eey Na Mary Jane amekam na Mary Jane

I guess ni ile gethaa gethaa Gethaa ya kumedicate

Namba nane but I ball like 2 3

Balling na wengi wako chupri

Ka hupendi soccer we can kick it

Can I kick it? Uliza Bruce Lee

London, Paris, holup, Andojo Berlin

[Verse 3]

Dada nidare, Kisha nigware Seti kivela, shikaga nare

Geuka basi, Pigwa kibare, Chapa ilale ye ye

Make sure imedoz, Ikiamka ongeza dose

Just for a sec, bonga na boss

Just for the sex, Gonga kigogo go go!

Drip leaking, keep sipping

Lip syncing, Keep kissing

Teke teke, kipsigis

Hey gypsy, Come see this

Nafeel tipsy, Na si whiskey

Ni hizi biscuits, brownies

Yeah, Watch the throne then crown me

Wee, welcome to house of munchies

 

Kamikaze

[Verse 1]

Pizzo De King and You Know It

PAPICHULO twende Kazi

YO! they be looking, they be looking, they be looking

They be looking, they be looking at meee Yoo.

They be looking, they be looking, they be looking

Ask the them when you looking what do you see?

Pizzo De what! KING KING

Namba nane Kamikaze

Hao wengine wajikaze

Hii ni mboka niko kaze

Cash cheque maDeposit

Wasupa daily wanateta

Ulimi ya Octo manze panga

Nikitema nawakata

Mbao mbao mi makanga

Nimembao bila randa

Rada wapi dada

Blunder sina shada

Murder hii matanga

Namba nane tunachanga

Niki pull up wanashangaa

Eee Pizzo de what! King

Name Ohanga John ring bell

Tuko kwa ring ring

Chini ya maji mi marine

Splash splash mi na swim

Cash cash mi na win

Puff puff pewa wind

Stay fly bila wings

Aim high bila weed

Mbengu mingi pewa seed

Mbili mbili hizi twins

King king hao queens

Panguza ndula cheza chini

Uppercut chunga chin

Lamu zangu breeze

Kalamu ina bleed

Ice cube wamefreeze

Achiuuu nime sneeze

[Verse 2]

Akili nywele we kipara

Mheshimiwa hi idara

Msupa cheza chini bana

Hizo haga nazidara

Pupa iko nini buda

Bila kucha nawagwaraaa raah

Wamerank mi ni shabaaa bruh

Kata miti chonga shamba

Bonga mbaya kula pamba

Funga leso pewa kanga

Penda kuku mi namanga

Poshomill mi nasiaga

Demo mi ni teargas

Teke teke hii ni riadha

Bana see hii ni real apana fantasy

Galaxy cheki fiti mi ni star naniiii

Hennessy mwaga chini Hii ni murder scene

Ka ni beef leta nyama nina magazeene

Scary scene kila kitu hapa halloween

8 strings nyaTITI mi apana violiiiin

Violet bana bana spendi violence

Chipo mwitu please ongezea mayonnaise

 

Nu Afrika

[Verse 1]

I check the mic check before i mic check (Waddup?)

Every time i mic check i ask for my cheque (Cheque)

Am done with this bullshit like Jordan (Rrraaah!)

All black, jungle fever am Conan

I keep it raw man i pope up like Romans

I keep it slow man i move on like nomads

Sihitaji fullstop walishani comma

Education is the key na mamodeh maligoma

[Verse 2]

Okay

Jay riri Yeezy shit

I be running this town

Stand up ninja

When i speak nigga seat down

Tergat gang marathon this is long distance

All my ladies foreign exotic long distance

For instance, All my Exs are experts

Na inhale niki exhale na expand

X-men shule modeh alini expell

But sahi na expect excel to an extend siwezi ku explain

Wanangoja Trailer nko kwa nissan me ni Xtrail

Boy wa ghetto but kila kitu nadunga mazeh ni expe

Nimegeuza madem currency

Nawa exchange

Bars kibao lakini sahi staki ku extend (Yeah)

Okay, whatever the kid say when she speak you listen

We want peace but we keep fighting

War will leave us in pieces

Jesus

Hol’ up! Poverty diseases

Kibera we witness but this is Africa enterprise

We mean business

Niccur!

 

Prezidential

[Verse 1]

Design ye huchora saba, artist, Picasso

Hakuna cha CD, mi ni old skool ni casso

Mixtape nimewauzia ni eight minutes ni

Kaa soo

Figure ya chupa matime mi humconfuse

Na Daso

Gold digger hizi bling anazihustle

Mambleina walidhani kurap ni muscle

Na mresh wake nikimuingizia anashikwa

Na muscle-pull

Kabla nishoot ako zile za… PULL

Nine months later Aga Khan… PUSH

Mi na Moses na George tuna burn Bush

Na kenye tunachoma ni purple… Kush

So high kuliko angels… Dush

Ita paka cocoa puss puss

Kenye unataka bora usi lose-lose

Tei juu ya maji design ya Goose Goose

Good food, good mood

 

[Verse 2]

Hey

Mapockets green, zucchini

Waresh niki? Bikini

Unakunywa nini? Nakunywa Guinney

World record kila track nadrop inaingia

Guiness

Tergat- Niko na gold medals ka ishirini

In short mi ni Long Distance Paper Chaser

International flag waver

Marathon lover

Tunawaacha wakijificha chini ya mabed cover

High cholesterol, mi ni mcheesy

Biz ni biz, mtu wangu niko busy

Monkey business, sikupi hii ndizi

Na bila Jay Si Beyonce atafeel Z

My flower is bigger Kabla niskize ngoma za Breezy

Kabla nikunyang’anye dem naskia album ya Dreezy

Na tangu nimewaibia lime light ka Lil Wayne

Wanadai siku Hizi Mimi ni mWeezy

 

[Verse 3]

Deadly ka cancer za Kansas

Na saa hii naskiza mi-mixtape ya Ras Kass

No pollution but still tunapass gas

Si reggae but inabamba hadi Ras Mwas

Enda lap ukirudi unipatie lapdance

On your marks, get set, Go

On my lap, OK, go psycho

Kaa square ama hutawahi fit kwa hii circle

Wapi map? Jaza gap

Put Your Drinks Up, Jaza cup

Where yo money at?

Pata gwap

Unafanya kwa gift shop? Basi wrap

Unaskia kudoz mtu wangu? Shika naps

Baba yao Baba Tracy mi ndio Pops

Hii track ni mad kwa Instagram, Double Tap

Na hata ukiuliza Moi atakushow it’s a wrap!

 

Tergat Gang

[Verse 3: Octopizzo]

They told me go get it

And I went and I got it

Biggy an Notorious

Picture me rollin

Like Christopher Wallace

Picture me rollin

Like Pac

Bagging dat, people…nigga you made it

Ring Ring

Ma phone ringing and I can’t hear you callin’

Cause I’m in a different time zone

I’m like nigga..nigga…nigga….

You breakin

Number nane to LA

LA to New York

New York to K-I-B-E-R-A namba nane

Kibera si unajua venye si hu-come

Tukiwa murder na hii ni freestyle bana

Ey,ten bob from a bill (billi)

Every month I make a milli (milli)

Most of the time na think twice ju man nina brain mbili (ching)

Winter I’m chillin

Winning I’m willing….pesa

Young Biggy ka CJ me hutunga ka Willy (otas)

Baba kitendawili

Mama mara ya pili

Playboy

Kejani nina kitanda mbili

So usiwahi ji compare na me buda

Ju kuna venye niko over your head

Ka foreskin

Written by: admin

Rate it

Similar posts

REVIEWS

K KWAN: THE STATEMENT MIXTAPE REVIEW

As a product of the golden era of Sierra Leone Hip-Hop, The Sierra Leone UK Based Rapper merges his Hip-Hop background with Afrobeats/Pop hooks for classic Rap/Sung fusion that radio and women love. K Kwan demonstrates a considerable talent on this mixtape — a collection of some fantastic tunes and […]

today16/02/2022 5

Post comments (0)

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


0%